Una swali au maoni? Tafadhali jaza fomu hapa chini, na tutaribu kurudisha majibu haraka iwezekanavyo.
Karibu KKKT Digital Kituo cha Kuungana Kidijitali
KKKT Digital ni mfumo rasmi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) unaolenga kuimarisha ushirika kati ya Kanisa na waumini wake kwa njia ya teknolojia. Kupitia mfumo huu, kila msharika anaweza kupata taarifa muhimu za Kanisa popote alipo kupitia SMS, WhatsApp, Barua Pepe, na majukwaa mengine ya kidijitali.
Kupitia KKKT Digital, waumini hupokea muhtasari wa mahubiri, taarifa za matukio, elimu ya stadi za maisha, na mafunzo mengine kama ujasiriamali, teknolojia, malezi ya vijana, na mambo mengine yanayolenga kukuza huduma na imani ya kikristo.
Huduma zote mkononi mwako, papo kwa papo
Timu yetu ipo tayari kukusaidia muda wote
taarifa za kiroho.
ukuaji wa kiroho.
Imani, ujuzi, na fursa za kisasa
Jiunge nasi katika matukio mbalimbali ya kanisa, ibada, na mikutano ya kiroho
9:00 - 11:00 asubuhi
5:00 - 6:30 jioni
4:00 - 6:00 jioni
3:00 - 6:00 jioni
Bado una swali?
Jumapili 9:00 - 12:00Jumatatu - Ijumaa 8:00 - 17:00